Saturday, July 24, 2010

Jamini MR NICE

Mfalme wa TAKEU, Nice Lucas Mkenda ‘Mr’, wikiendi ya wiki iliyopita haikuwa njema kwake, alijeruhiwa na kutoka damu nyingi kichwani, baada ya kupigwa chupa ya bia katika ugomvi unaodaiwa chanzo chake ni wivu wa mapenzi.

Mr. Nice, alipatwa na ‘mbilinge’ hilo, Jumatatu alfajiri, Julai 19, 2010 kwenye Klabu Masai, Kinondoni Dar ambapo usiku mzima wa Jumapili (Julai 18) aliutumia kuporomosha burudani ya muziki akiwa na bendi yake ya Bush.

No comments:

Post a Comment