MAMBO YA DR WILBROD SLAA LEO JIONI MJINI ARUSHA
Mgombea wa urais wa Jamhuri wa Muungano kupitia Chama cha Deomkrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbrod Slaa, akiwahutubia maelefu ya wakazi wa mji wa Arusha, ambao walijitokeza kumdhamini, katika Uwanja wa NMC leo. Picha kwa hisani ya Joseph Senga.
Kwa mambo zaidi http://fullshangwe.blogspot.com
No comments:
Post a Comment